Home video VIDEO: YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA NYOTA 7

VIDEO: YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA NYOTA 7

USAJILI wa Yanga kwa msimu wa 2021/22 umepamba moto baada ya mabosi hao kudaiwa kwamba wamekamilisha usajili wa nyota wa AS Vita, Djuma Shaban na inaelezwa kuwa hesabu zake ni kukamilisha usajili wa nyota 7. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:YANGA YAWEKEWA DAU NONO KUWAUA WANAIGERIA, SIMBA YAISHSHA TP MAZEMBE