Home video VIDEO: YANGA YAMTETEA FISTON ISHU YA KUKOSA PENALTI

VIDEO: YANGA YAMTETEA FISTON ISHU YA KUKOSA PENALTI

ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga amesema kuwa wachezaji wameonyesha utofauti katika kucheza ndani ya uwanja, pia ameongeza kuwa mazingira yalivyo watu wanafurahia matokeo mazuri jambo ambalo ni jema kwao.


 Kuhusu Fiston Abdulazack amesema kuwa inatokea kushindwa kufanya vizuri jambo ambalo linamuumiza wataendelea kumpa sapoti kwa kuwa wanajenga timu hivyo kukosa kwake penalti sio tatizo kwani hata Messi naye huwa anakosa.

 

SOMA NA HII  KIPA ALIYETUNGULIWA NA MAYELE ATAJA SABABU ZA KUFUNGWA