kimataifa

ZIDANE ANAWEZA KUIBUKIA UFARANSA

admin July 1, 2021 7:47 am


ZINEDINE Zidane aliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid imeelezwa kuwa huenda akawa Kocha Mkuu wa  Ufaransa.

Timu ya taifa ya Ufaransa inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Deschamps amekiongoza kikosi hicho kuenguliwa kwenye hatua ya 16 bora ya Euro 2020.

Ufaransa iliondolewa kwenye Euro 2020 kwa penalti 5-4 dhidi ya Uswisi baada ya dk 90 ubao kuwa 3-3.

Timu hiyo ilikuwa inapewa nafasi ya kutwaa taji hilo lililokuwa mikononi mwa Ureno ambayo nayo pia ilitolewa.


SIMBA YATAKA KUSEPA NA UBINGWA MBELE YA YANGA VIDEO: SIMBA YAITANGAZIA KIAMA YANGA, NABI AFUMUA KIKOSI KISA CHAMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply