Simba SC

VIDEO: GOMES YUPO TAYARI KUVAANA NA YANGA, ANAMTAMBUA NABI

admin July 2, 2021 10:47 am

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni. 


Gomes amesema kuwa anamtambua kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi kwa kuwa aliwahi kukutana naye kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh.

 Ameongeza kuwa ni mchezo mkubwa na muhimu kwao katika kusaka pointi tatu ili waweze kutwaa ubingwa na anaamini pia watakutana kwenye mchezo wa fainali ya FA Kigoma.

 

YANGA WAWEKEWA MKWANJA WA MAANA KWA AJILI YA SIMBA VIDEO: SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA MABADILIKO YA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply