OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa hatua ambayo Yanga wamefikia kwenye suala la mabadiliko wanahitaji pongezi na amekuwa akiwaambia ukweli kwa kuwapongeza.
Pia amesema kuwa ni suala la muhimu kwa kila mmoja kuweza kufikia mabadiliko.