Home video VIDEO: YANGA, TUTASHINDA MBELE YA SIMBA

VIDEO: YANGA, TUTASHINDA MBELE YA SIMBA

RAZACK Siwa, Kocha wa Makipa wa Yanga amesema kuwa kwa upande wao wapo tayari kushinda mchezo wa leo Julai 3 na katika uhalisia Yanga ni timu bora jambo ambalo linawafanya waamini kwamba watashinda mchezo wao mbele ya Simba.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MUZIKI WA YANGA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA, KIKOSI HIKI HAPA