video
VIDEO: YANGA, TUTASHINDA MBELE YA SIMBA
RAZACK Siwa, Kocha wa Makipa wa Yanga amesema kuwa kwa upande wao wapo tayari kushinda mchezo wa leo Julai 3 na katika uhalisia Yanga ni timu bora jambo ambalo linawafanya waamini kwamba watashinda mchezo wao mbele ya Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.