Home video VIDEO: HAJI MANARA KUACHA KAZI SIMBA, AWAVAA WACHEZAJI

VIDEO: HAJI MANARA KUACHA KAZI SIMBA, AWAVAA WACHEZAJI

165
0

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ikiwa watafungwa tena na Yanga, Julai 25 atabwaga manyanga katika nafasi hiyo, pia amewaambia wachezaji kwamba Julai 3 walicheza kama wanadai vile.