Simba SC

WATANO WA SIMBA KESHO KUIKOSA KMC, KWA MKAPA

admin July 6, 2021 5:47 am


NYOTA watano wa Simba kesho wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Ni kipa namba tatu Ally Salim ambaye hayupo kwenye mpango wa Kocha Mkuu, Didier Gomes sawa na beki wa kushoto Gadiel Michael.

Mwingine ni Jonas Mkude ambaye ana matatizo ya suala la nidhamu.

Mbali na kiungo Mkude pia mshikaji wake Ibrahim Ajibu huyu yupo nje ya kikosi kwa kuwa anaumwa Malaria.

Perfect Chikwende alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE VIDEO:MZEE WA UTOPOLO AUNGANA NA MZEE MPILI KUIMALIZA SIMBA KIGOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply