video
VIDEO: HUYU HAPA KIPA WA IVORY COAST KUIBUKIA YANGA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo na kipa wa Ivory Coast Elieza mwenye miaka 23 ambaye atakuja kuchukua mikoba ya Metacha Mnata ambaye anawezwa kuwekwa kando kutokana na kutokuwa na mwendo mzuri ndani ya kikosi hicho kutokana na masuala ya nidhamu.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.