Ligi Kuu
VIDEO: KASEJA: TULIFANYA MAKOSA MENGI KIPINDI CHA KWANZA,KUSTAAFU BADO
JUMA Kaseja, nahodha wa KMC amesema kuwa walifanya makosa mengi kipindi cha kwanza jambo ambalo liliwapa nafasi wapinzani kuweza kushinda mbele yao na kupata pointi tatu.
Jana, Julai 7, Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma KMC 0-2 Simba na mabao yote yalifungwa kipindi cha kwanza.
Pia Kaseja amesema kuwa muda wake wa kustaafu kwa sasa bado kwa kuwa bado anacheza.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.