video

VIDEO: MORRISON AOMBA RADHI KWA MASHABIKI KISA YANGA

admin July 8, 2021 6:47 am


NYOTA wa Simba, Bernard Morrison amesema kuwa anaomba msamaha kwa mashabiki wa Simba kutokana na kushindwa kupata matokeo mbele ya Yanga, Julai 3 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-1 Yanga.


 Morrison ambaye aliyeyusha dk 90 kwenye mchezo huo amesema kuwa walikuwa wanahitaji ushindi ila haikuwa hivyo kwao jambo ambalo anaamini kwamba liliwaumiza mashabiki wao. Kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Julai 25 ameweka wazi kwamba mpaka watakapomaliza mechi zao zilipo mbele.

 

GRIEZMANN AWEKWA SOKONI MSIMAMO WA LIGI KUU BARA MSIMU WA 2020/21

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply