video

VIDEO: SIMBA: BAO LA YANGA LILIFUNGWA NA KAPOMBE, TUKUTANE KIGOMA

admin July 8, 2021 8:47 am


SHABIKI wa Simba Mwakitalimo ameweka wazi kwamba mchezo wao uliopita ni Shomari Kapombe ambaye alifunga bao la Yanga walipokutana Julai 3, Uwanja wa Mkapa ambapo ulisoma Simba 0-1 Yanga.


Shabiki huyo amesema kuwa ni bao la Kapombe  kwa kuwa lilimgonga katika harakati za kuokoa shuti lililopigwa na Zawad Mauya wa Yanga hivyo watakwenda kulipa kisasi Kigoma. Pia ameweka wazi kwamba Yanga wanapaswa washinde mechi zao na kufunga mabao 28. 

 

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA MSIMU WA 2020/21 BAADA YA KUICHAPA SIMBA, SENZO AWAPIGA MKWARA WACHEZAJI YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply