video

VIDEO: SIMBA SUALA LA KUFUNGWA NA YANGA WAMUACHIA MUNGU

admin July 8, 2021 3:47 am

KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa walikuwa bora kipindi cha kwanza jambo ambalo limewafanya waweze kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KMC , jana Uwanja wa Mkapa.


 Kuhusu kuingia akitoka benchi na kubadili mchezo amesema kuwa ni suala la kusoma mchezo. Pia amegusia kuhusu kupoteza kwao mbele ya Yanga wa kufungwa bao 1-0 kwamba hakujawafurahisha hivyo suala hilo wanamuachia Mungu.

 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI HAJI MANARA AMPA MZEE MPILI MILIONI MOJA YAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply