video

VIDEO: JULIO ATAJA KILICHOWAPA USHINDI YANGA KWA SIMBA

admin July 9, 2021 8:47 am

JULIO amesema kuwa licha ya kwamba Klabu ya Simba ni nzuri haina maana kwamba haiwezi kufungwa.


Ameongeza kuwa jambo ambalo lililofanya ikapoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga, Julai 3 ilikuwa ni uwezo wao wa kumiliki mpira kipindi cha kwanza ambao ulikuwa ni kwa upande wa Yanga licha ya Simba kufanikiwa kumiliki kipindi cha pili bahati haikuwa kwao Uwanja wa Mkapa. 

Ameweka wazi kwamba anaamini Simba watakuwa mabingwa wa ligi msimu wa 2020/21.

 

IHEFU YAIPIGIA HESABU MECHI YAO IJAYO LIGI KUU BARA VIDEO: SHIGONGO CUP KUINUA VIPAJI KWA VIJANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply