video

VIDEO: YANGA: TUNAKWENDA KIGOMA KUPIGA PALEPALE KWENYE MSHONO

admin July 9, 2021 5:47 am

OFISA Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz ameweka wazi kuwa Yanga wameinzisha safari kuelekea ishu ya kusaini na Azam Media, pia ameweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Simba ambao ni fainali ya Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Julai 25, Uwanja wa Lake Tanganyika watapiga palepale kwenye mshono.


Yanga inakumbuka kwamba ilipata ushindi mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa na ilishinda bao 1-0 lililofungwa na Zawad Mauya.

 

EMMANUEL OKWI ATOROKA KAMBINI MISRI RAMOS: NINAFURAHI KUWA PSG

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply