video

VIDEO: YANGA: UBINGWA SIO TATIZO, JAMBO LA MSINGI UNAKWENDA KUUFANYIA NINI

admin July 9, 2021 6:47 am

MWANACHAMA wa Yanga, Mohamed amesema kuwa suala la kuchukua ubingwa ni dogo ila jambo la msingi ni kujua kwamba ubingwa huo unaifanyia nini kwa kuwa kama makombe Yanga imetwaa mataji mengi.


 Pia amesema kuwa zipo timu ambazo zilitwaa ubingwa ambapo ile ya kwanza ilikuwa ni Cosmo 1967 na mpaka sasa haipo kwenye ligi.

 

VIDEO: KAULI YA FREDRICK MWAKALEBELA KUHUSU MZEE MPILI VIDEO: YANGA YALAMBA DILI NONO,MASTRAIKA SIMBA WAMPA KIBURI GOMES

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply