video

SIMBA: HATA TUKIFUNGWA MECHI ZOTE BADO NI MABINGWA

admin July 11, 2021 9:47 am

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ili Simba asiwe bingwa inapaswa ifungwe mechi zote tatu na wapinzani wao waweze kufunga mechi moja mabao zaidi ya 15 na anaamini kwamba hata wakifungwa mechi zote bado wanaweza kuwa mabingwa wa ligi. Azungumzia dili la Simba na Azam TV.

 

KOCHA ATOA MASHARTI ISHU YA USAJILI, YANGA KUSAJILI WATANO ORODHA YA NYOTA WANNE WA KIMATAIFA WANAOWINDWA NA YANGA HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply