video
VIDEO: CHUMA CHA YANGA MATATA SANA, CHEKI NAMNA KILIVYO NDANI
GSM wadhamini wa Yanga wameshusha mashine mpya kwa Yanga ambayo ni gari aina ya Scania inakwenda kufanyiwa maboresho ili kuwa bora zaidi kwa kuweka nembo na matengenezo madogomadogo.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.