video
MGUNDA: SIKUWAFUNDISHA MBINU ZA KUOTEA WACHEZAJI WANGU
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa hakuwafundisha wachezaji wake mbinu ya kutengeneza mtego wa kutoea jambo ambalo aliwaonya kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Coastal Union ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.