Home video SIMBA: TUNAKWENDA KUWAFUNGA YANGA, MPILI HACHEZI

SIMBA: TUNAKWENDA KUWAFUNGA YANGA, MPILI HACHEZI

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa hawawezi kufungwa mbele ya Yanga mara mbili. 


Kuelekea kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Julai 25 wamebainisha kuwa watashinda fainali kwa ushindi.Ameweka wazi kwamba Mzee Mpili hachezi.

 

SOMA NA HII  TAZAMA NAMNA KOCHA MKUU WA SIMBA ALIVYOKAGUA UWANJA