Yanga SC

YANGA YARUDI DAR KUIVUTIA KASI SIMBA

admin July 19, 2021 6:47 am


KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kimeanza safari ya kureja Dar leo Julai 19 baada ya kukamilisha mzunguko wa pili.


Jana kilikuwa Dodoma, makao makuu ya Tanzania hivyo leo watakuwa kwenye mji mkuu wa biashara, Dar.

Msimu wa 2020/21 Yanga imeufunga kwa kugawana pointi mojamoja na Dodoma Jiji katika mchezo uliochezwa jana Julai 18, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na ulikamika kwa sare tasa.

Kikosi hicho kinarejea kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wao ujao dhidi ya Simba ambao ni wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba.

Kwenye msimamo Yanga ipo nafasi ya pili na imekusanya jumla ya pointi 74 baada ya kucheza jumla ya mechi 34.

Itachezwa Julai 25, Kigoma Uwanja wa Lake Tanganyika.


MUUAJI ANAYETABASAMU TIMU HIZI ZILIKUTANA NA BALAA LAKE VIDEO: SIMBA YAWEKA REKODI YA KIBABE,YANGA YAIWAHI SIMBA KIGOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply