Simba SC

MABINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO WATIA TIMU DAR NA TAJI LAO

admin July 26, 2021 11:43 am

 MABINGWA wa Kombe la Shirikisho,  Simba tayari wameshawasili Dar na taji hilo baada ya kulitwaa jana.

Katika mchezo wa Kombe la Shirikisho kwenye fainali walikutana na Yanga ambao ni watani zao wa jadi.

Ushindi wa bao 1-0, Uwanja wa Lake Tanganyika kupitia kwa Taddeo Lwanga ulitosha kuwafanya watetee taji hilo.

Ikumbukwe kwamba walitwaa msimu wa 2019/20 zama za Sven  Vandenbroec,  Sumbawanga kwa ushindi mbele ya Namungo na jana ilikuwa mbele ya Yanga.

Kocha wa sasa ambaye ni Didier Gomes amesema kuwa ni furaha kwake kuona wanatimiza lengo ambalo walijiwekea.

MZEE MPILI: KUNA NGAO YA JAMII, WAKIKAA VIBAYA NAWAPIGA KAMA LIGI YANGA WARUDISHA SHUKRAN KWA MASHABIKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply