kimataifa

MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI

admin July 28, 2021 6:44 am


MANCHESTER United wamethibitisha kukamilisha dili la beki Raphael Varane ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Real Madrid.

Timu hiyo ilikuwa inamfuatilia kwa ukaribu mchezaji huyo mpaka ilipofanikiwa kukamilisha dili la beki huyo raia wa Ufaransa.

Taarifa rasmi kutoka Manchester United imeeleza:”Manchester United inafurahi kutangaza kwamba imefikia makubaliano mazuri katika suala la usajili na mchezaji wa Real Madrid ambaye ni beki wa timu ya taifa ya Ufaransa na mshindi wa taji la Kombe la Dunia, Raphael Varane,”.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO BREAKING: HAJI MANARA ABWAGA MANYANGA SIMBA, MBADALA WAKE HUYU HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply