Simba SC
UJUMBE WA HAJI MANARA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA SIMBA
ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae rasmi:
“Kila tunapomaliza mechi yoyote ile ya Simba, neno langu la kwanza baada ya matokeo yoyote yale ni Alhamdulillah.
“Kwa wanaofuatilia page hii wanatambua hilo. Kwangu neno hili ndio msamiati ninauotumia mara nyingi zaidi na hufanya hivi kwa kila jambo, liwe jema au baya. Yes neno langu ni moja tu.
AL-HAMDULILLAH

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.