Simba SC

‘GUTY’ HUYOO SIMBA

admin July 31, 2021 5:43 pm


INAELEZWA kuwa klabu ya soka ya Simba ipo kwenye mipango ya kumsajili kiungo mkabaji wa klabu ya Kagera Sugar, Abdulswamad Kassim ‘Guty’ ili kukiongezea nguvu kikosi hicho kuelekea msimu ujao. 

Simba inataka kuongeza ufanisi wa nafasi hiyo ya kiungo mkabaji, hasa baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya utovu wa nidhamu wa mara kwa mara wa Jonas Mkude.

Nafasi ya kiungo mkabaji ndani ya Simba kwa sasa ina wachezaji wawili wa asili ambao ni Mzamiru Yassin, na Mganda, Taddeo Lwanga.

BREAKING: AZAM FC YAMPA DILI LA MIAKA MIWILI MCONGO AMBAYE NI MSHAMBULIAJI KISA KAGAME CUP, AZAM WASHUSHA VIKOSI VIWILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply