MBAE WA DUNIA AJA NA FURUSHI LA MAZAWADI KIBAO
Kombe la Dunia ni jukwaa la mabingwa, na mwaka huu Meridianbet inatafuta bingwa mmoja zaidi kupitia kampeni yatu mpya ya “Mbabe wa Dunia.”
Wakati mastaa wa soka wakipigania kombe uwanjani, wewe una nafasi ya kupigania sehemu ya zawadi zenye thamani ya TZS 100,000,000 kwa kutumia maarifa yako ya soka na utabiri sahihi wa mechi.
Kampeni hii inakupa nafasi ya kugeuza kila mechi ya Kombe la Dunia kuwa fursa ya kupanda kwenye msimamo wa washindi. Kila tiketi halali unayocheza hukuletea pointi, na kila pointi ni hatua moja kuelekea zawadi kubwa. Ni mashindano yanayokuweka pamoja burudani, ushindani na fursa ya kushinda katika kipindi chote cha michuano.
Kadri siku za Kombe la Dunia zinavyosonga mbele, ndivyo vita ya kutafuta Mbabe wa Dunia inavyozidi kuwa kali. Washiriki kutoka maeneo mbalimbali watakuwa wakijaribu kukusanya pointi nyingi zaidi, huku msimamo ukionyesha nani anaongoza mbio za kuelekea kileleni. Swali ni moja tu: Je, utaweza kuwazidi wote na kuwa miongoni mwa washindi wakubwa?
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Meridianbet imeandaa zawadi zinazolingana na hadhi ya mabingwa. Kuanzia Bajaj kwa mshindi wa kwanza, pikipiki za Boxer-125, televisheni za Hisense 55”, simu za Samsung A26 hadi bonasi mbalimbali za michezo na kasino, kila nafasi ya juu ina sababu ya kupiganiwa mpaka dakika ya mwisho ya mashindano.
Usiache Kombe la Dunia likupite bila kulifanya likunufaishe. Weka tiketi zako za mechi za Kombe la Dunia kupitia Meridianbet, kusanya pointi zako na ushindanie nafasi ya kuwa Mbabe wa Dunia 2026. Safari ya kuelekea kileleni imeanza, na kila tiketi inaweza kuwa hatua muhimu kuelekea ushindi huu mkubwa.