Home video KAKOLANYA:NIMEFIKIA MALENGO YANGU, TUTAPAMBANA MBELE YA YANGA

KAKOLANYA:NIMEFIKIA MALENGO YANGU, TUTAPAMBANA MBELE YA YANGA

BENO Kakolanya kipa namba mbili wa Simba amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga watapambana kuweza kufanya vizuri na amebainisha kwamba amefikia malengo yake licha ya kucheza mechi chache.

 

SOMA NA HII  VIDEO: FLAVIANA MATATA AMUITA DIAMOND