Home video VIDEO: FLAVIANA MATATA AMUITA DIAMOND

VIDEO: FLAVIANA MATATA AMUITA DIAMOND

FLAVIANA Matata ambaye ni mwanafamilia ya michezo ndani ya ardhi ya Tanzania akiwa ni shabiki namba moja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond kuweza kuungana naye katika mradi wa kuwasaidia watoto wa kike kupata taulo. 

 

SOMA NA HII  VIDEO;NABI AANZA NA PACHA YA MAKAMBO,MAYELE, SIMBA YASHUSHA JEMBE JIPA