Home video VIDEO: TIMU YA TAIFA YA MAWALI YATUA, WENGINE WAMEACHWA SABABU YA CORONA

VIDEO: TIMU YA TAIFA YA MAWALI YATUA, WENGINE WAMEACHWA SABABU YA CORONA

TIMU ya Taifa ya Malawi imewasili Dar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars unaotarajiwa kuchezwa Juni 13, Uwanja wa Mkapa, baadhi ya nyota wa timu hiyo wameachwa Malawi kutokana na sababu ya Corona.

 

SOMA NA HII  STARS KESHO KUWAVAA WABENIN, HALI IPO HIVI