Home Simba SC MPANGO WA MANGALO KUMRITHI PASCAL WAWA MSIMBAZI UKO HIVI

MPANGO WA MANGALO KUMRITHI PASCAL WAWA MSIMBAZI UKO HIVI


KAMA mambo yakienda vyema, beki wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo anaweza akala shavu Simba na akashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (Caf) ya mwaka huu.

Awali ilidaiwa Yanga walikuwa wakimvizia nahodha huyo wa Biashara, lakini wakashindwa na sasa Simba ikitajwa kukaribia kumnasa beki huyo.

Mabingwa hao wa Ligi Kuu kwa misimu minne mfululizo, imeelezwa wamefanya mazungumzo na nyota huyo ikiwa ni mipango yao ya kuimarisha kikosi chao kwa ujao.

SOMA NA HII  MANULA AFUNGUKA HAYA KUHUSU TUKIO ZIMA LA KUZIMIA UWANJANI