Home news RAIS SAMIA UWANJA WA MKAPA KUSHUHUDIA SIMBA V YANGA

RAIS SAMIA UWANJA WA MKAPA KUSHUHUDIA SIMBA V YANGA


 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu leo ni miongoni mwa Watanzania ambao wanashuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga.

Samia mwenye sera ya kazi iendelee ni moja ya viongozi ambao wanapenda michezo na kuona matokeo chanya katika kila jambo.

Hivyo leo anakuwa pamoja na Watanzania kushuhudia mchezo wa dabi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mashabiki wengi wamejitokeza Uwaba wa Mkapa kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi.

SOMA NA HII  BOCCO APITA NJIA ZA KINA AY NA FA KIBABE SANA