Home Simba SC REKODI ZA GOMES NDANI YA LIGI KUU BARA HIZI HAPA

REKODI ZA GOMES NDANI YA LIGI KUU BARA HIZI HAPA


KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, jana Julai 3 alishuhudia timu yake ikipoteza kwa mara ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kuwa kwenye mwendo mzuri.


Baada ya kubeba mikoba ya Sven Vandenbroeck aliongoza kikosi hicho katika jumla ya mechi 14 bila kupoteza ila mchezo wake wa 15 jana alipoteza pointi tatu kwa mara ya kwanza.

Hizi hapa rekodi zake ndani ya Bongo kwenye ligi na timu ya Simba ipo nafasi ya kwanza na pointi zake ni 73 baada ya kucheza mechi 30:- 

Februari 4, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Dodoma Jiji 1-2 Simba.

Februari 7, Uwanja wa Mkapa, Simba 2-2 Azam FC.

Februari 18, Uwanja wa Karume, Mara, Biashara 0-1 Simba.

Machi 2, Simba 3-0 JKT Tanzania, Uwanja wa Mkapa.

Machi 10, Simba 1-1 Prisons, Uwanja wa Mkapa

Aprili 14, Simba 5-0 Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa.

Aprili 17, Mwadui 0-1 Simba, Uwanja wa Kambarage.

Aprili 21, Kagera Sugar 0-2 Simba, Uwanja wa Kaitaba.

Aprili 24, Gwambina 0-1 Simba, Uwanja wa Gwambina Complex.

Aprili 27, Simba 3-1 Dodoma Jiji, Uwanja wa Mkapa.

Mei 29, Namungo 1-3 Simba, Uwanja wa Majaliwa.

Juni 3, Ruvu Shooting 0-3 Simba, Uwanja wa CCM Kirumba.

Julai 3, Simba 0-1 Yanga, Uwanja wa Mkapa.

Juni 19, Polisi Tanzania 0-1 Simba, Uwanja wa CCM Kirumba.

Juni 22, Simba 4-1 Mbeya City, Uwanja wa Mkapa.

 

SOMA NA HII  LIGI KUU SIO KITOTO TENA SIMBA,YANGA JUMAMOSI HII