Home video SIMBA: HATA TUKIFUNGWA MECHI ZOTE BADO NI MABINGWA

SIMBA: HATA TUKIFUNGWA MECHI ZOTE BADO NI MABINGWA

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa ili Simba asiwe bingwa inapaswa ifungwe mechi zote tatu na wapinzani wao waweze kufunga mechi moja mabao zaidi ya 15 na anaamini kwamba hata wakifungwa mechi zote bado wanaweza kuwa mabingwa wa ligi. Azungumzia dili la Simba na Azam TV.

 

SOMA NA HII  VIDEO: LIVE MKUTANO MKUU WA TFF