MASHABIKI wa Simba kuelekea kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika Julai 25 wameahidi kushinda kwa mabao mengi zaidi.