MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo amesema kuwa ataanzisha Shigongo Cup ambalo lengo la kufanya hivyo ni kuweza kuinua vipaji vya vijana.