Home video VIDEO: SIMBA: BAO LA YANGA LILIFUNGWA NA KAPOMBE, TUKUTANE KIGOMA

VIDEO: SIMBA: BAO LA YANGA LILIFUNGWA NA KAPOMBE, TUKUTANE KIGOMA


SHABIKI wa Simba Mwakitalimo ameweka wazi kwamba mchezo wao uliopita ni Shomari Kapombe ambaye alifunga bao la Yanga walipokutana Julai 3, Uwanja wa Mkapa ambapo ulisoma Simba 0-1 Yanga.


Shabiki huyo amesema kuwa ni bao la Kapombe  kwa kuwa lilimgonga katika harakati za kuokoa shuti lililopigwa na Zawad Mauya wa Yanga hivyo watakwenda kulipa kisasi Kigoma. Pia ameweka wazi kwamba Yanga wanapaswa washinde mechi zao na kufunga mabao 28. 

 

SOMA NA HII  HAJI MANARA AFICHUA SIRI KUHUSU IMANI YA HANSPOPE