Home video VIDEO: SIMBA SUALA LA KUFUNGWA NA YANGA WAMUACHIA MUNGU

VIDEO: SIMBA SUALA LA KUFUNGWA NA YANGA WAMUACHIA MUNGU

KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa walikuwa bora kipindi cha kwanza jambo ambalo limewafanya waweze kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KMC , jana Uwanja wa Mkapa.


 Kuhusu kuingia akitoka benchi na kubadili mchezo amesema kuwa ni suala la kusoma mchezo. Pia amegusia kuhusu kupoteza kwao mbele ya Yanga wa kufungwa bao 1-0 kwamba hakujawafurahisha hivyo suala hilo wanamuachia Mungu.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MAZOEZI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KUELEKEA KWENYE MCHEZO DHIDI YA MALAWI