Home video VIDEO: YANGA: UBINGWA SIO TATIZO, JAMBO LA MSINGI UNAKWENDA KUUFANYIA NINI

VIDEO: YANGA: UBINGWA SIO TATIZO, JAMBO LA MSINGI UNAKWENDA KUUFANYIA NINI

MWANACHAMA wa Yanga, Mohamed amesema kuwa suala la kuchukua ubingwa ni dogo ila jambo la msingi ni kujua kwamba ubingwa huo unaifanyia nini kwa kuwa kama makombe Yanga imetwaa mataji mengi.


 Pia amesema kuwa zipo timu ambazo zilitwaa ubingwa ambapo ile ya kwanza ilikuwa ni Cosmo 1967 na mpaka sasa haipo kwenye ligi.

 

SOMA NA HII  VIDEO:MWINA KADUGUDA HAJUI MPILI KATOKEA WAPI