Yanga SC

BREAKING: YANGA YAMTAMBULISHA NYOTA MPYA MWINGINE

admin August 2, 2021 12:43 pm


 UONGOZI wa Yanga leo umemtambulisha nyota mpya mwingine ambaye atakuwa ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/21 ikiwa ni baada ya jana Agosti Mosi kumtambulisha mshambuliaji Fiston Mayele ambaye amepewa jezi namba 9.

Ni Yusuph Athuman kutoka Biashara United ambaye ametambulishwa leo rasmi kwa dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo.

Taarifa rasmi kupitia ukurasa wa Instagram wa Yanga imeeleza kuwa kwa sasa Yusuph Athuman ni njano na kijani.

Nyota huyu ni mshambuliaji ambaye yupo kwenye timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 20.

VIDEO:ALIYEITUNGUA YANGA ATAJA HESABU ZAO MECHI ZA MBELE KAGAME ONYANGO AWATUMIA UJUMBE WANAOMUITA MZE, ATWAA MATAJI MANNE BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply