Home video VIDEO:YANGA WAWAKATAA SIMBA, KIWANGO CHAO WATAJA KUWA BORA

VIDEO:YANGA WAWAKATAA SIMBA, KIWANGO CHAO WATAJA KUWA BORA

JANA Yanga ilicheza mchezo wa ufunguzi na Big Bullets ambapo ulikuwa ni wa Kombe la Kagame, mashabiki wameweka wazi kwamba Yanga ni timu kubwa na malengo ni kushiriki kwenye kila mashindano na kushinda.


 Kuhusu kiwango cha jana baada ya ubao kusoma 1-1 bado wameweka wazi hakijawa bora huku wakiweka wazi kwamba mechi zijazo watafanya vizuri. Kuhusu watani zao wa jadi Simba wameeleza kuwa wamewazidi kwenye kila kitu.

 

SOMA NA HII  VIDEO:MZEE WA UTOPOLO AUNGANA NA MZEE MPILI KUIMALIZA SIMBA KIGOMA