Home Yanga SC BREAKING: MAKAMBO ATAMBULISHWA RASMI YANGA

BREAKING: MAKAMBO ATAMBULISHWA RASMI YANGA


BREAKING: DILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika ambapo leo ametabulshwa rasmi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.

 

Makambo ni kati ya wachezaji waliokuwa kwenye mipango ya kusajiliwa na Yanga katika usajili wa msimu huu katika kuisuka safu ya ushambuliaji ya timu hiyo.

 

Nyota huyo anaijua sera ya Yanga kwa kuwa  alisepa hapo msimu wa 2018/2019.

Mshambuliaji huyo amepewa dili la miaka miwili ndani ya Yanga.

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUMUONA MAYELE ANAVYOTESEKA KUTETEMA...NABI KATIKISA KICHWA WEE...KISHA AKASEMA HAYA...