video

VIDEO: PETER BANDA,YANGA WAMDAKA JUU NA KUIFANYIA UMAFIA SIMBA

admin August 3, 2021 9:43 am

INAELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wameifanyia umafia Simba katika ishu ya usajili wa mchezaji Peter Banda raia wa Malawi ambaye ni mshambuliaji mwenye miaka 20. 


Habari zinaeleza kuwa Yanga walisepa na mshambuliaji huyo ambaye alikuwa kwenye hesabu za kumalizana na Simba. 

 

MGHANA HUYU AINGIA ANGA ZA YANGA BREAKING: MAKAMBO ATAMBULISHWA RASMI YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply