Yanga SC

BREAKING: MAKAMBO ATAMBULISHWA RASMI YANGA

admin August 3, 2021 10:43 am


BREAKING: DILI la usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika ambapo leo ametabulshwa rasmi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.

 

Makambo ni kati ya wachezaji waliokuwa kwenye mipango ya kusajiliwa na Yanga katika usajili wa msimu huu katika kuisuka safu ya ushambuliaji ya timu hiyo.

 

Nyota huyo anaijua sera ya Yanga kwa kuwa  alisepa hapo msimu wa 2018/2019.

Mshambuliaji huyo amepewa dili la miaka miwili ndani ya Yanga.

 

VIDEO: PETER BANDA,YANGA WAMDAKA JUU NA KUIFANYIA UMAFIA SIMBA SHEVA HATIHATI KUACHWA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply