video
VIDEO: MAKAMBO ASAINI YANGA, TAZAMA NAMNA ILIVYOKUWA
HERITIER Makambo, aliyekuwa anakipiga ndani ya Horoya AC ya Guinea kabla ya kuvunja mkataba huko ametambulishwa rasmi ndani ya Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.