video
WAZIR JUNIOR:NITAENDELEA KUPAMBANA, HATUKUTARAJIA MATOKEO
NYOTA wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa matokeo ya leo ilikuwa bahati mbaya kwao kwa kuwa wamepata matokeo mabaya ambayo walikuwa hawatarajii. Amesema kuwa wana amini kwamba watafanya vizuri katika mchezo wao wa mwisho uliobaki
Mchezo wao ujao ni dhidi ya Express ambao ni vinara wa kundi A wakiwa na pointi nne hivyo Yanga inapaswa kushinda ili kutinga hatua inayofuata.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.