video

VIDEO: YANGA YATAJA KILICHOKUWA KINAWAKWAMISHA, HAJI ATABANWA

admin August 5, 2021 8:43 am

HAJI Mboto shabiki wa Yanga amesema kuwa Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba anataka kuelezea namna Simba ilivyokuwa inashinda na ana maelezo kwa namna ambavyo viongozi walikuwa wanafanya ili kushinda hivyo akibanwa ataeleza. Kuhusu usajili amesema kuwa wachezaji ni wazuri ambao wamesajiliwa na Yanga.

 

VIDEO: MO KUSEPA SIMBA, MANARA KUWASHA MOTO TENA, ARSENAL KUMCHOMOA KIUNGO MADDISON NDANI YA LEICESTER CITY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply