video

VIDEO: REKODI ZA KIPA MPYA WA YANGA ZIPO HIVI

admin August 9, 2021 3:44 pm

YANGA imemtambulisha kipa mpya kutoka nchini Mali ambaye ni Djiguidi Arrao akiwa amefanikiwa kutwaa mataji matatu. 


Kipa huyo anakuja kuchukua nafasi ya Metacha Mnata ambaye amechwa rasmi Yanga. Rekodi zake zinaonyesha kuwa ni moja ya kipa mwenye uwezo mkubwa na uwezo wa michuano mikubwa na aliwahi kushiriki kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

 

VIDEO: SIMBA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA TUNISIA KWA BILIONI YANGA WATAJA SABABU YA KUACHANA NA MAKIPA WAO WOTE WAWILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply