video
VIDEO: SIMBA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA TUNISIA KWA BILIONI
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kimepanga kumpa dili mshambuliaji Abdulkhalid ikiwa ni mbadala wa Luis Miquissone ambaye anatajwa kuingia rada za Al Ahly ya Misri.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.