video
VIDEO: MZEE WA MAJENEZA AWAPA SOMO MASHABIKI WA YANGA, KUMUUZA KISINDA JAMBO BAYA
MZEE wa majeneza awapa somo mashabiki wa Yanga,aweka wazi kuwa ni jambo baya kwa nyota wao Tuisila Kisinda kuondoka wakati wakiwa bado wanamhitaji. Pia ameweka wazi kuwa kwa ofa ambayo wamepewa lazima wakubali wakigoma mchezaji atakwenda bure.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.